Psalms 105:34-35


34 aAlisema, nzige wakaja,
tunutu wasio na idadi,

35 wakala kila jani katika nchi yao,
wakala mazao ya ardhi yao.
Copyright information for SwhKC